My Blog » AKINA

AKINA => KWA AKINA DADA WAPENDAO MITOKO, ANGALIA VAZI ZA VANNESA WHITE

Filed under: AKINA

AKINA => D 4 we SINZA PALESTINA WASHUSHA VIATU BOMBA KWA AKINA DADA

Kwa akina dada wapendao viatu vya kisasa kwa ajili ya kutokea pamoja na ofisini, ni wakati wa kutembelea duka la D 4 we lililopo Sinza karibu na Hospital ya Palestina. Au wasiliana nao kwa simu no 0712292013 … Read entire article »

Filed under: AKINA

AKINA => WARAKA ULIOWANYANG’ANYA VYEO VYOTE AKINA ZITTO KABWE NDANI YA CHADEMA HUU HAPA

MKAKATI WA MABADILIKO 2013 UTANGULIZI. Taasisi tunayoizungumzia ilisajiliwa rasmi mwezi Jan 1993 na tokea wakati huo imeongozwa na wakuu wa taasisi wapatao wawili na aliyepo kwa sasa ni wa tatu. Wa kwanza aliongoza kwa miaka mitano tangu wakati huo 1993 hadi 1998 na kumwachia aliyefuata ambaye naye aliongoza kwa miaka mitano hadi mwanzoni mwa 2004 na kumwachia aliyepo sasa. Huyu aliyepo aliongoza kwa miaka mitano tangu mwaka 2004 hadi 2009 na kisha akachaguliwa tena mwaka 2009 kwa kipindi cha pili. Tunapenda kwa hatua ya mwanzo kabisa kutambua juhudi za wakuu wetu wote waliopita walizozifanya katika kuhakikisha taasisi yetu inakua kwa kutumia uwezo wote waliokuwa nao na katika mazingira yaliyowakabili. Mwaka 1995 chini ya mkuu wa kwanza tulipata wawakilishi watatu kwenye chombo chetu kikuu cha uwakilishi. Mwaka 2000 chini ya mkuu wa … Read entire article »

Filed under: AKINA

AKINA => RAGE AANDAA BONGE LA SINEMA SIMBA SC KUJIBU MAPIGO YA AKINA KINESI…MCHEZO UTAANZA IJUMAA ATAKAPOTUA AIRPORT

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam MWENYEKITI aliyesimamishwa Simba SC, Alhaj Ismail Aden Rage atarejea nchini Ijumaa na kulakiwa na mamia ya wanachama na ataitisha Mkutano Mkuu, ambao utafanyika Jumapili hii, BIN ZUBEIRY imeambiwa. Na katika Mkutano huo, Rage amepanga kuwasimamisha Wajumbe wote wa Kamati ya Utendaji na baada ya hapo atasafiri kwenda nje ya nchi. Wajumbe wa Kamati ya Utendaji waliobaki Simba SC ni Joseph Itang’are ‘Kinesi’, Said Pamba, Ibrahim Masoud ‘Maestro’, Swedi Nkwabi na Zacharia Hans Poppe.  Filamu Ijumaal Rage ameandaa mkakati mkali wa kujibu mapigo ya akina Kinesi atakapowasili Ijumaa. Habari za kiuchunguzi, ambazo BIN ZUBEIRY imezipata zimesema kwamba, Rage amekwishawasiliana na wafuasi arise wa Dar es Salaam na wameandaa mapokezi makubwa kwake atakapokuwa anawasili Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Dar es Salaam Ijumaa. Baada ya hapo, Rage ataitisha Mkutano Mkuu … Read entire article »

Filed under: AKINA

AKINA => A couple of writings regulating Akina retard copolymers

There have been multiform writings regulating Akina’s polymers not long ago the couple of of that have been graphic below. … Read entire article »

Filed under: AKINA

AKINA =>

Ahmed RajabToleo la 32513 November 2013UROHO unawafanya watawala wetu wacheze na moto. Tunachoshuhudia siku hizi ni jinsi watawala wetu na matajiri wetu wanavyosaidiana kujitajirisha bila ya kikomo huku mamilioni ya wananchi wenzao wakizidi kuwa mafukara. Utajiri, tena utajiri mkubwa, umeangukia kwa njia za haramu katika mikono ya watu wachache sana nchini humu. Si dhamiri yangu kuwazungumza wafanyabiashara waliotumia ubunifu wao wa kibiashara kujipatia utajiri mkubwa kwa njia za halali. Hawa tunaweza kuwatia kwenye kiganja kimoja. Wala siwazungumzi wafanyabiashara wa kawaida wanaohangaika usiku na mchana kujipatia faida katika biashara zao wakiwa, kwa mfano, ama na maduka au magari ya kusafirisha abiria. Ninaowakusudia ni ile mitajiri, iliyo mijivi, inayotumia ulaghai kulighilibu taifa kwa manufaa yao wenyewe bila ya kujali madhara makubwa wanayowasababishia walio chini katika jamii. Ufisadi wote huu unarahisishwa na mfumo wa uchumi tulionao. Huu … Read entire article »

Filed under: AKINA

AKINA => AKINA MAMA WAPO KIWANDANI KUCHAMBUA KOROSHO HUKO TUNDURU MKOANI RUVUMA!!!

Hapa ni baadhi ya akina mom wakichambua Korosho kwenye moja ya kiwanda wilayani Tunduru mkoani Ruvuma……Nimekumbuka mbali sana wakati naishi Litumbandyósi na Kingole kuilikuwa/kuna Korosho nyingi sana. Basi mimi na kaka zangu tulikuwa tukizishughulikia hizo wewe acha tu, yaani mpaka mikono pia vidole vilikuwa vinachubuka maana Korosho zina mafuta fulani hivi yaliyosababisha iwe hivyo. Ila kwa kweli ilikuwa raha sana….picha hii nimeitoa kwa mdogo wangu Ester Ulaya. … Read entire article »

Filed under: AKINA